Abiudi Misholi – NIMECHOKA UNILINDE

Prominent Tanzanian gospel recording singer artist, and songwriter, Abiud Misholi is back with a new gospel hit song tagged, NIMECHOKA UNILINDE.

Listen to it here below:

Nimechoka kabisa
Macho yangu mazito
Macho yako baba angu
Yanilinde usiku
Niliyokukosea
Mungu niagizie
Damu ya yesu kristo
Inioshe kabisa

Read Also:  Hope Fountain Combined School online Application, Courses, fees, Contacts

Ndugu zangu ee mungu
Uwalinde usiku
Wakubwa kwa wadogo
Wote walale raha
Wenye shida tuliza
Uwafute machozi
Uwaponye wote
Waumwao usiku huu

Read Also:  Macfadden

Listen to, “Abiudi Misholi – nimechoka unilinde” below;

AUDIO Abiudi Misholi – nimechoka unilinde MP3

 

 

Leave a comment